Bunge kuonyeshwa live katika nchi unazozijua

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,748
Mwenye ukujua nchi inayoonyesha bunge lake liv ktk luninga toka siku ya ufunguzi mpka siku ya kufugwa anitajie hapa mimi naanza na
Tanzania ilikua 2015 mwisho 2016 nchi gani nyingine inaonyesha live
 
Mwenye ukujua nchi inayoonyesha bunge lake liv ktk luninga toka siku ya ufunguzi mpka siku ya kufugwa anitajie hapa mimi naanza na
Tanzania ilikua 2015 mwisho 2016 nchi gani nyingine inaonyesha live
Peter Msigwa na CHADEMA wanajua hilo
 
South africa linaoneshwa mwaka mzima kuna tv maalum, wakati wowote waangalia na mrudio kama hakuna bunge
 
Mwenye ukujua nchi inayoonyesha bunge lake liv ktk luninga toka siku ya ufunguzi mpka siku ya kufugwa anitajie hapa mimi naanza na
Tanzania ilikua 2015 mwisho 2016 nchi gani nyingine inaonyesha live
Hizo nchi zingine zinatakiwa kuiga kutoka kwetu kuonyesha 'live' matangazo bunge toka ufunguzi had tamatisho, sio lazima kila kitu tukiige kwa wengine lazima nasi tuwe na maeneo ya kujivunia.
 
Siku zote mtu muovu mambo yake hupenda kuyafanyia gizani ni ujinga kuaminisha watu kwamba majipu yatatumbuliwa hadharani lakini bajeti inapangiwa gizani
 
Kuna CHAMA gani kingine duniani kilichosheheni MAFISADI wengi kama CCM yetu ya Tz????.
NB:Siyo kila kitu tuige kutoka nchi nyingine, kwani UFIDADI tuliiga kutoka wapi???.Sometimes tunatakiwa kuwa UNIQUE Kama tulivyo kwenye UFISADI.
 
Back
Top Bottom