Dear Members
Natamani mkusanyiko huu wa ACTIVE members JF ungelikuwa ni bunge fulani hivi likiwa na Speaker,Waziri mkuu,Mawaziri na wabunge kutoka vyama tofauti...
je tungepewa fursa ya kumchagua spika na kuteuwa mawaziri wa wizara tofauti humu JF kwa kuzingatia umahiri wao katika hoja zao tungewapendekeza kina nani?
Just give ur idea regardless of politics itikadi etc
lakini mkuu hujasema wabunge wangetokaje tokaje ,mana spika bila kuwa mbunge itawezekana?ama wanaotakiwa kuwa wabunge ni nani je ni member,junior member,senior membeq au premium members,tuweke wazi mkuu mana wazo lako ni la kipekee
Hili nalo neno...Inkoskaz ungefaa tu kuwa spika kwa tiketi ya "C hama Chetu" whereby mijadala miwili tu ingetupa mwelekeo km bado uendelee na wadhifa wako ama urudi mapokezi kusubiri kazi nyingine!
Kwa kua katiba ya 'Chama Chetu' inatambua kwanza ubunge kama kigezo cha kuchangia mijadala then ukiwa mbunge ndiyo uwe Spika basi bila kuadhiri kanuni ndogo ya uteuzi huu unaweza kutundika koti lako la Uspika kisha ukawa member wa floor na baada ya kuchangia utarudia koti lako as spika..yes...inawezekana
Dear Members
Natamani mkusanyiko huu wa ACTIVE members JF ungelikuwa ni bunge fulani hivi likiwa na Speaker,Waziri mkuu,Mawaziri na wabunge kutoka vyama tofauti...
je tungepewa fursa ya kumchagua spika na kuteuwa mawaziri wa wizara tofauti humu JF kwa kuzingatia umahiri wao katika hoja zao tungewapendekeza kina nani?
Just give ur idea regardless of politics itikadi etc
Naombeni, na nautaka uwaziri wa Nishati na Madini... Ili nitoe JF view ya suluhisho la tatizo umeme. Invisible upoooh?
kama jinsi JF ilivyogawanywa katika categories tofauti basi na mawaziri husika watatoka humohumo,kuna vigezo vyake mpaka ufikie huko kama vile mchango waku kwa JF ulilenga kwenye nini hasa!!kama mambo ya nishati basi utapata bila tatizo