Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,795
- 165,534
Aisee inaumaa,afadhali angeamka na atubu dhambi hizi....hawa masisiemu laana yao imekwiva na naunga mkono hoja ya mtoa mada hii...Hongera kamanda Mnyika daima tutakuwa nyuma yenu makamanda mpaka kieleweke!!!Waoneni huruma wamechanganyikiwa mbinu zote zina fail fastjet kaanza kuaga, aibu ya kukabidhi nchi inawatesa, hata kwa maombi hawaponi bora shekh yahya angekwepo angewafariji namwonea huruma mtt pori na ujana ule ataenda wap? Cck hana nafasi family haimtambui hana babu anadandia family za watu.
Hata tusiwalaumu.....ni sisi tuliwachagua kuwa wawakilishi wetu...." change ni wewe, ni sisi twaweza"