Bunge hili linapaswa kuvunjwa...

Bunge hili linapaswa kuvunjwa...

Naandika haya si kwa utani bali ni kutokana na uchungu nilionao kuona jinsi watu ambao tuliwatuma waende bungeni kutetea maslahi yetu jinsi walivyogeuka wasaliti wakubwa na kutanguliza maslahi ya chama chao badala ya wale waliowatuma!Inauma sana na kusikitisha na ni bora mwenyezi Mungu achukue roho zao ili kunusuru mamilioni ya watanzania ambao sasa ni wazi wamesalitiwa kwa kiasi kikubwa.

Kilichotokea leo bungeni hakina tofauti na kile kilichomtokea mh.Mbatia.Kwa wasiofahamu ni kwamba, hoja ya mh.Mnyika nayo imepigwa chini kwa kutumia wingi wa wabunge wa ccm baada ya naibu spika kuwahoji kama wanaunga mkono hoja hiyo iondolewe.Kama kawaida ya wabunge wa ccm wao ni chama kwanza na mwananchi baadae hivyo wengi wao waliafiki hoja hiyo ya mh.Mnyika iondolewe bila hata kujali athari za kuondoa hoja hiyo muhimu.

Kwa wale wasiokuwa na taarifa ni kuwa mh.Mnyika aliwasilisha hoja yake bungeni iliolenga kuondoa tatizo sugu la maji mkoani Dar-es-salaam lakini kwa hila za ccm hoja hiyo imekuwa ikipata upinzani na hatimae leo wameiondoa kwa kutumia wingi wao bungeni.

Hili jambo ni wazi limegeuzwa la kisiasa kwa kuona kuwa kama hoja hiyo ingepita labda mh.Mnyika na chama chake wangepata sifa kwahiyo ni bora waikwamishe.

Kwa kuzingatia matendo haya ya kinyama dhidi ya watanzania wanaoteseka na shida ya maji lakini wawakilishi wao wanaona ni bora waendelee na shida hiyo na nyingine nyingi kama vile elimu isiyo na mitaala basi ni bora mwenyezi Mungu awachukue wote kwa manufaa ya taifa hili.

CCM haya ndio maisha bora mliotuahidi!

mkuu punguza hasira wachagulie adhabu nyingine hiyo ya kifo iache kuwa ya mungu.
 
according to mnyika hii mijamaa ilishapanga kukwamisha ili wasiumbuliwe yalipewa pesa nyingi wao baadala ya kujengea miundombinu ya maji wao wakaishia kununulia magari.
 
Ninachojiuliza ni hiki hapa hata sisi wananch tunaweza kutumia nguvu ya umma katika kutetea hili. Mtu afanyapo mazuri asifiwe. Kwa tatizo la maji lililopo dar es salaam ni wazi kwamba mbunge ameliona.

Sasa kama bunge hata matatizo ya wananchi hayasikilizwi basi hatuna haja ya kuwa na bunge ni bora tukashinikiza wabunge wajiuzulu manake wanawakilisha nini??

Je ingekuwa hoja ya kutetea mishahara yao wangepiga kura iondolewe?? Hata kama kuna kanuni zilikiukwa??
 
Siwaombei kifo kwasbb wawepo na washuhudie ukombozi na waione serikari mpya 2016 alafu wawepo kwenye orodha yawatakaokwenda magereza ya vijijini na sio ukonga au segerea au keko kwasababu huko hakuna kazi ngumu watanenepeana tu
 
hawa ni wakoloni weusi wenye ushirikiano wa karibu na shetani...laana kwao.
 
My LORD let us my enemies (maCCM) live longer so that they can see my success on 2015.
 
anna makinda.
job ndugai
wiliam lukuvi
stephen wasira
mwigulu nchemba
livingstone lusinde
hamis kigwangwala
sophia simba
ana kilango
shukuru kawambwa
bernaed membe
ismail rage
suleiman jaffu
nyambari nyangwine
muhamed dewji
ahmed shabibu
stella manyanya
hasnain murji
stephen ngonyani
......
.............
................
..........................
.................................
.........................................
................................................
..........................................................
.................................................................hiki kikosi kitatupeleka pabaya.

ongeza na Mary chatanda na edward lowasa.
 
Wakifa hawataona mateso, Mungu waache hai ila wachape kiboko, wapige stroke ya nguvu washidwe kwenda hata chooni, wasaliti wakubwa hawa, wabunge wa ccm hawana tofauti na shetani, Mungu naomba washulikie ipasavyo na nina imani kabla hili bunge halijaisha Mungu utakuwa umejibu maombi yetu kwani wewe ni mwaminifu, Amen.
 
Ni kweli kwa kitu wanachotufanyia Watanzania ni bora ...........mbali !!!!!
 
unafiki wa CCM NA MAJUMBA YAO YA MILLION 400
wao wako kwa ajili ya matumbo yao na family zao
CHADEMA PIGANENI MDA SIO MREFU MTALIKOMBOA TAIFA
 
Hivi pro Chadema huyu mungu mnaomtaja kila siku na kumuomba mabaya ni mungu yupi? maanake naona nukuu,maandiko,maombi mbalimbali yakimtaja mungu.
 
nashindwa kuelewa wabunge wa ccm wapo bungeni kufanya nini kama wanashindwa kumtetea mpiga kura wake kwa ahadi aliyompa wakati wa uchaguzi
 
nawapa pole ya dhat wa TZ wote kwa yanayotupata,ila tujiulize bunge lina wabunge wengi wa ccm,wamekuwaje wengi? kama wabunge wa ccm ni weng na tuliwachagua bas wakulaumiwa ni sisi,kwa hili Mungu hausiki tulipokea kanga,kofia na kilo ya unga nk. ili iweje?ubinafsi na uroho unatuponza,Lazima msaliti atokee miongongoni wa wafuasi wa "Kristo" ili apokee vipande kadhaa vya pesa Yesu atiwe mikonon auawe, siku y3 afufuke watu wapate kukombolewa,usalit umeshatokea tupo kipind cha mateso bado kufa ndio tufufuke TZ iokoke.udhalimu wa makaburu uliwaunganisha wa Afrika kusin,sasa udhalimu wa ccm utatuunganisha watanzania na wote tutaimba Wimbo wa ukomboz.
 
Back
Top Bottom