Bunga kiboko kwa wanaume "Dakika mbili"

Ukipaka kweny macho hupati usingizi pia?
Nikiwa na nafikiria nitapataje pesa ya kula mchana huu huwa napitia JF kujiliwaza kama hivi aisee we mtu umefanya mpaka watu wananiona chizi kwa kicheko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ukitaka kupata utajir wa haraka sema unatibu nguvu za kiume
Au unatibu kuchelewasha kufika kileleni
Wengi utawakamata
 
Mkuu umesahau kutoa tahadhari kabla ya matumizi wapime magonjwa ya moyo wasijefia vifuani mwa watu na kuwaletea mikosi.
 
Nothing new, Vumbi la mkongo hilo,
Jus tried once, Ni kitu matata sana ila haina raha maana niliheeenya mwisho wa siku nilimchosha tu mtoto wa watu nikaishia ushindi wa 1-0
 
*salamubzenu....
*naamininibkuwa...
*kunabdawa....
**kumridhisja...
**wanaume ambao hawaridhishwi na waume zao...

Utadhani unakunya nje... Tulia.. Andika kwa umakini...

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
wewe katoto una mdomo mchafu makosa ya kiuandishi ndo unamtukana mwenzio hivyo? ungepita kimya
 
Mlidanganywa na babu wa Loliondo mkanywa kikombe kwa maelfu. Kiko wapi sasa? Achaneni ni hizi dawa za kuibuka. Ukosefu wa nguvu za kiume ni wa kisaikologia kwa asilimia kubwa na pia unachangiwa na lishe isiyo sahihi. Unadhani ukishindia chips na pombe kila siku utabaki na nguvu za kiume baada ya miezi kadhaa? Wapi. Na kama uliye naye sio mkeo na hayuko katika usafi wa kuridhisha au mazingira ya kukufanya ufurahi nguvu zako za kiume zitabaki? Haipo hiyo.
 
Tunapoelekea huko,tutaambiwa hata mavi yanaongeza nguvu za kiume, na watu kama kawaida watakula.
 
Wengine wanatamani wangekuwa wanamwaga kila baada ya Dk 2 kwasababu ndiyo utamu wenyewe sasa
 
Kunya ni kutukana???? Wewe huwa hunyi!!!!!

Acha kuleta habari za KIJINGA wewe!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
mkuu mimi kama mtoa poat naomba kusema mazingira uliyotumia hili neno si ya kistaarabu na hvo linakuwa tusi. tujitahid kutopaniki na kutoa maneno ya maudhi.vww are all great thinkerd.
 
Nothing new, Vumbi la mkongo hilo,
Jus tried once, Ni kitu matata sana ila haina raha maana niliheeenya mwisho wa siku nilimchosha tu mtoto wa watu nikaishia ushindi wa 1-0
mbona hamsemi linakopatikana na sie wa dakika 2 tujaribu
 
Mtafia vifuani
 
Mm Nina dawa ya kutibu tatizo la wanawake ambao hawalidhishi waume zao.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kuna jamaa yangu aliwahi kuniletea kutoka kongo buree, ILa likanishinda Nikaligawa kwa watu tu, Next tine akiena nitamuagiza alaf nitajua unalipataje
usisahau mkuu manake jamaa wanatupiga chenga ukiwauliza jinsi ya kupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…