Bunga kiboko kwa wanaume "Dakika mbili"

Oyaa hebu wastue na wanariadha inawahusu coz ukipakaa kwny miguu ni mwendo wa kukimbia tuu kama umefunga ingini ya mwendokasi
 
Wambie wale matunda na maji meengi hiyo dawa ikiwa sugu mwilini inakuwajee
 
tehetehe we muangalie tu
 
Binafsi bila dawa hizo dakika 30 niko juu naweza. sasa dawa ya kazi gani?
 
Kweli wanaume ni kama mitoto akili zimeshikiliwa na viungaaaa na vimizizi kwa ajili ya mapenzi.
Kuweni wabunifuuuu unaaangaika na maunga alafu ubunifu zirooo kaa na akili zako
 
Kama hujawahi kuugua ugonjwa ambao ukapelekea wewe kupata ugonjwa wa upungufu wa nguvu za kiume kama vile kisukari au figo basi sikushauri utumie dawa zozote zinazo ongeza nguvu za kiume hasa kutokana na athari zake.

Watu wengi wanapata matatizo hayo hasa kutokana na ulaji na unywaji mbaya. Hivyo kubadili, mapishi namna ya kula ndo njia sahihi na ya kuaminika zaidi.

Kutumia dawa za nguvu za kiume kunaweza kusababisha kuibua magonjwa makubwa zaidi kama vile ugonjwa wa shikinikizo la damu. So tumia hizo dawa at your own risk. Yakikukuta usije ukasema kuwa hukuonywa.
 
Umenena vyema mkuu much respect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…