Zaidi ya bunduki elfu tano na mia sita zilizokamatwa katika maeneo mbalimbali nchini zikitumika kinyume na sheria zimeteketezwa kwa moto katika uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma.
Kweli hata mimi huwa najiuliza kwa nini zisipangiwe matumizi ya kihalali? Maduka ya serikali ya silaha kwa jamii yapo, zifaazo zipelekwe huko, nyingine mgambo, jkt nk. Hivi zisingetufaa siku vita ikitokea? Vijana walopitia jkt na mgambo wako mtaani, siku Malawi akileta mushikeri si tungezitumia,, au ni bandia haziui.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.