Bundle za internet zenye gharama nafuu

Halotel mwana chuo line 10000 unapata 10 GB per month anyway this fellas must pay me for pushin em business
Ukitaka kuifaidi hii, jazaa salio kwa halo pesa 10000 unapewa 3000 nyingne kama bonus. Unga hio ya 10000 kwa mwezi, ikatokea bundle limekata kabla unauwezo wa kutumia hiyo 3000 ukapata vifurushi vingine mfano 1500/=X2 cha week.

Pia kabla mwezi haujaisha unauwezo wa kuweka salio tena 10000 na zile dakika/Mb/Sms wanazi top up
 
Natumia TTCL wala sijutii kwanza 4G imetulia muda wote
 
Bando la Halotel la sh 9999 kwa mwezi sijalipatia mpinzani bado...GB 10, Dkk 80 mitandao yote....msioijua ikimbilieni..speed yake ndo balaa
 
ofisini kwao watakupa melezo vizuri kama sehemu uliyopo ina uwezo wa 4G

Unategemea uenda ofisini kwa kuwauliza mtandao wenu unasumbua watakujibu hausumbui? Ndo mana uzi uko hapa kama kuna watu wanajua watatujibu kama hawajui bora kukaa kimya tu
 
Bando la Halotel la sh 9999 kwa mwezi sijalipatia mpinzani bado...GB 10, Dkk 80 mitandao yote....msioijua ikimbilieni..speed yake ndo balaa
Hii ni line ya chuo tu sio wenye line zote
 
Bando la Halotel la sh 9999 kwa mwezi sijalipatia mpinzani bado...GB 10, Dkk 80 mitandao yote....msioijua ikimbilieni..speed yake ndo balaa
Ttcl 6GB na dakk 75 mtandao yote kwa 5000 ty kw mwez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…