Habari zenu wadau..
Kwa anayejua ni mtandao gani hapa bongo wenye gharama nafuu ya bundle...
Nina line mbili, Halotel na Voda,... Nimekua nikiitumia Halotel kwa internet kwani nililinganisha na Vodacom nikagundua Halotel kuna kaunafuu... Sasa nimeongeza simu nyingine, so nataka line mpya kutoka mitandao mingine lakini iwe na unafuu wa gharama za vifurushi na yenye kasi,.. Naomba ushauri wenu.
HIYO NI KWAC DAAA TUU AUMie Niko voda natumia offer ya "ukonga family" yaan kwa 2000 napewa 1GB kwa wiki.
Kama unaangalia unafuu na sio kasi ya mtandao basi hamia Airtel ofa zao ni nzuri ..
1.2 GB = 48 hrs
1 GB = siku saba
unafuu wa gharama za vifurushi na yenye kasi,..
Mtandao gani?Bonyeza *149*03#namba 2ufuate ofa yako
VodaMtandao gani?
Mkuu mbona ndogo sana?Natumia voda offer yangu tu mb 1024 siku 5
Tanga family hata korogwe family ipoHIYO NI KWAC DAAA TUU AU