fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,509 Reaction score 27,810 Nov 9, 2023 #2 aah wapii
Brelim Skoro_ JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 14,827 Reaction score 36,985 Nov 9, 2023 #3 Aaaah c'mon Nape we know you.
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,287 Reaction score 6,190 Nov 9, 2023 #4 Na lakwao linaisha fasta Kama la kwetu
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,560 Reaction score 9,738 Nov 9, 2023 #5 Wanasiasa watakusumbua sana kwani unajua 1 central african franc ni sawa na dollar ngapi? au 1 CFD ni sawa na dollar ngapi? na thamani ya hizo hela kwa tz?
Wanasiasa watakusumbua sana kwani unajua 1 central african franc ni sawa na dollar ngapi? au 1 CFD ni sawa na dollar ngapi? na thamani ya hizo hela kwa tz?
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,676 Reaction score 19,819 Nov 9, 2023 #6 Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Tanzania shilingi ngapi!!?? Bila hivyo habari yako ni ya hovyohovyo
Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Tanzania shilingi ngapi!!?? Bila hivyo habari yako ni ya hovyohovyo
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 24,769 Reaction score 39,303 Nov 9, 2023 #7 Kwanini mnapenda kujilinganisha na wengine?
speech JF-Expert Member Joined Mar 4, 2022 Posts 506 Reaction score 1,325 Nov 9, 2023 #8 Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Vip kuhusu mfumo wa maisha hko ndio kitu kikubwaaa....
Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Vip kuhusu mfumo wa maisha hko ndio kitu kikubwaaa....
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 22,645 Reaction score 28,605 Nov 9, 2023 #9 Ricky Blair said: EView attachment 2808717 Click to expand... Sasa Nape unajitetea nini kwani una kampuni ya simu?
Ricky Blair said: EView attachment 2808717 Click to expand... Sasa Nape unajitetea nini kwani una kampuni ya simu?
Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,996 Reaction score 6,730 Nov 9, 2023 #10 Sisi tunazungumzia yakwetu hayo mengine hayatuhusu, wao watawala ndio wa kwanza kusema tusijilinganishe Wala kujifananisha na nchi zingine
Sisi tunazungumzia yakwetu hayo mengine hayatuhusu, wao watawala ndio wa kwanza kusema tusijilinganishe Wala kujifananisha na nchi zingine
DeoMic Senior Member Joined Jul 21, 2023 Posts 111 Reaction score 177 Nov 9, 2023 #11 Kwani hali za ichumi zinafanana?
Buenos Aires JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 1,893 Reaction score 1,623 Nov 9, 2023 #12 Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Huko wanazo pesa, utalinganisha na maisha ya bongo!!
Ricky Blair said: View attachment 2808717 Click to expand... Huko wanazo pesa, utalinganisha na maisha ya bongo!!