Safina ya nuhu inakaribia kung'oa nanga ,waambie wawahi mapema kabla hatujaghaili halafu wakose kotekote
hakuna kitu kama hicho isipokuwa kilichopo ni kuwa ukawa kuna mgogoro unatokota na soon kuna kitu kitalipuka. Wengi mtakuwa mmeobserve ukimya uliopo huko karibuni, sasa hii rumour itakuwa ni tactic ya kutuzubaisha wakati wakijaribu kufunikafunika uozo unaosambaa. Mtakuja kuniambia.
Safina ya nuhu inakaribia kung'oa nanga ,waambie wawahi mapema kabla hatujaghaili halafu wakose kotekote
zingatia oparesheni toroka uje ndipo useme!