mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
BUNDI ATUA JIMBO LA NYAMAGANA MARAFIKI WAGEUKA KUWA MAADUI KISIASA KISA UBUNGE
BY Mwanakijiji Lugusi
Kuna msemo unaosema marafiki WA kweli wakati mwingine hugeuka kuwa maadui NA hilo limejidhihilisha NDANI ya JIMBO LA NYAMAGANA.
Katika harakati za kuanza kujenga MTANDAO WA kuwania ubunge JIMBO LA NYAMAGANA aliyewah kuwa meneja kampen WA mbunge WA sasa JIMBO LA NYAMAGANA mh Samson Boroyi pichani kulia nae ameanza harakati za chini chini za KUMPINDUA boss wake ubunge MWAKA 2020.
NA KWA sasa huyu Samson ambaye kitaaluma NI mwalimu ameanza kuwa karibu NA jamii inayomzunguka ikiwa ni pamoja NA kutoa MISAADA KWA WAJANE,MAYATIMA PAMOJA NA KUSOMESHA WANAFUNZI mbalimbali wasio NA uwezo NDANI ya jiji LA MWANZA mambo ambayo MBUNGE WA sasa mh mabula ameshindwa kuyatekeleza.
Baada ya kujulikana mpango mkakati WA mbunge WA sasa kupinduliwa kuna mkakati WA chini chini ulioandaliwa NA waganga njaa watiifu WA mbunge WA sasa kuendeleza propaganda ya ukanda eti kissa Mr boroyi asili yake ni musoma NA si msukuma.
Kweli naanza kuamn kuwa kuna wabunge mpka Leo bado kuna kasumba kuwa hayo majimbo wana hatimiliki YAO.
Ngoja waendelee kugombana NA kufukuzana ili CHADEMA TURUDISHE JIMBO LETU TULILOWAPANGISHA MWAKA 2015