Wanachama wa chama cha CHADEMA wilaya ya Bunda mkoani Mara, jana majira ya mchana walipigana katika ofisi ya wilaya ya Bunda mjini hadi kusababisha barabara ya Mtaa wa Benki ya NMB kutopitika hali iliyopelekea mtu mmoja kulazwa baada ya hali yake kuwa mbaya.
Huu ugomvi ulitokana na wafuasi wa watangaza nia kupitia CHADEMA kutoelewana na kusababisha ugomvi mkubwa.
Huu ugomvi ulitokana na wafuasi wa watangaza nia kupitia CHADEMA kutoelewana na kusababisha ugomvi mkubwa.