keteka
Senior Member
- May 12, 2013
- 149
- 52
Akiwa safari mkoani kangera alihojiwa na mwandishi wa habari juzi mahojiano;
Mwandishi mh.unaitwa nani?
Mh.mm naitwa Dkt.lucas webiro PhD
Mwandishi.umejiunga lini na chama.
Mh.nimejiunga tarehe14/03/1998
Mwandishi wa habari je umekifanyia nn chama chako.
Mh.nimekitetea sana hasa kwenye shughuli za maendeleo ya wananchi hapa Tanzania katika nyanja elimu,afya,ajira na ardhi hasa watu wote
Mwandishi je kama ukikosa je uko tayari kukubaliana hali ii
Mh.mm sina shaka kabisa kama watu wabunda wataona siwezi kuwafikisha kanani nitapumuzika lakn itaniuma sana jimbo kuwa mikono kwa wahuni ambao wanatumia fedha zao kuwa tesa watu wa bunda kwa miaka mitano.mh.sipendi kusema mtu kuna watu wanataka ubunge kupitisha maovu yao kama kufanya biashara haramu kuchukua raslimali kama ardhi kugawana tenda kwa ushikaji kukusanya fedha kwa matumboyao.kwa hiyo sina wasiwasi kuteuliwa na chama changu ninakiamini nami wananiamini kwa hiyo nakuwa mbunge usi hofu wingi wa abiria gari ni mojatu.
Mwandishi je dkt.utaondoaje tatizo la ajira kwa vijana.
Mh.nikweli hili nitatizo kubwa hasa kwa bunda mimi na chama changu tutahakisha sekta isiyorasimu inatabulika ili kusaidia wekezaji wa ndani kwanza nakuboresha mazingira ya biashara ndogo kukua kukuza mitaji kupitia vikundi vya vijana na akinamama ilikuaminika na mabenki autaasisi za fedha kuweka vijana kwenye vikundi ili watabulike wapewe kazi za kandarasi za huduma na ufundi.
Mwandishi.je nn matarajio yako kwa bunda
Mh.mm nahitaji kuendeleza juhudi za kufikia maendeleo ya kweli kwenye elimu afya na maji haya naweza na sihitaji mfadhili kupata majibu ya mambo haya ni kishirikiana na wanabunda tunaweza sio sitaki wafadhili no lazimu tuwe na sababu ya kuhitaji wafadhili nasema kwa sasa matatizo ya maji afya elimu tuna yalea sisi lazimu mtu naye mh.dkt.lucas webiro