Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

Hv kipindi wasira anatoa ahadi za maji...bulaya
Alikuwa mbunge pia..alichangia nn ktk baraza la madiwani?
 
Safi sana ndugu wananchi , huyo wasira aibu ameitaka mwenyewe tu , haiwezekani mtu mmoja ang'ang'anie ubunge kuanzia hatujazaliwa mpaka tunapata wajukuu , aibu ameitaka mwenyewe .
Tangu enzi ya Mwl yupo.
Utawala wa Mwinyi, yupo.
Akaja Mkapaakampokea, Mkapa alipoondoka akabaki yupo.
Akaja Kikwete akawa bado yupo.
Sasa JK anaondoka anataka abaki bado yupo!!!!! Ni noma
 
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.
Na wanakuja na hadithi hizo hizo mwaka huu. Ushauri wangu ni huu. Wakija na Rushwa, chukueni, kula. 25 Octoba Kura weka UKAWA.
 
Wassira ajiandae kuingia porini kumfuata mwenzake mwaka huu masisiem lazima tuyaondoe madarakani
 
Na wanakuja na hadithi hizo hizo mwaka huu. Ushauri wangu ni huu. Wakija na Rushwa, chukueni, kula. 25 Octoba Kura weka UKAWA.

Huo ndio wimbo wa wana bunda mkuu
 
Wasira mwaka huu itajilaumu maana hiyo ela anayofanyia kampeini afadhali angewasaidia jamaa zake kuliko kuzichoma moto maana ubunge atausikia kwenye luninga
 
Sisi wakaazi wa bunda tumedhamilia kuipiga CCM chini kuanzia diwani,mbunge hadi rais hiyo ni adhabu kwa serikali ya CCM baada ya kutudanganya kutupatia maji safi na salama kwa muda wa zaidi ya miaka yoote ya uhuru.

Na baada ya kututukana kwamba ss ni malofa
 
Niliwai kuandika kwnye ukurasa wangu wa fb kuwa wasira ana miaka zaidi ya 25 mfululizo akiwa mbunge lkn kashindwa kujenga hata choo cha shule huyo ha2fai kasababisha wilaya imekuwa masikin kuliko zote tanzania,mabadiriko ni mhimu mwaka huu,
 
Mkuu lazima tumpige chini huyu mpenda usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…