Bunda tumeamua kuipiga CCM chini

Malofa na Wapumbavu.....upepo wa Steven Wassira ni Noma.....wataisoma namba Akina Bulaya anazunguka na ma body guard sasa Mbunge wa Watu Ulinzi wa hivyo iweje....asilimia tisini Kura kwa Wasira safari hii

nani hakujui wewe mpambe wa wasira ? njaa
mbaya sana ! kijana mdogo unarubuniwaje na kikongwe ?
 
so mnazani kuipiga ccm chini ndo mtapata maji co ndg zng wa bunda???
 

pole sana na maswahiba ......hapakazitu na uadilifu
 
Mbona sorry kibao hujiamini nini?
 
Mwana mageuzi yeyote ana heshima siyo kama chama chetu ccm ambacho kinawatukana watanzania
Sijaona popote alipomkashifu au kumtukana mtu sasa sorry sorry za kazi gani? Wewe leta nondo tu kama kuna mtu kakwazwa na ukweli shauri yake. Kuwa kama Dr. H.E. William B. Mkapa.
 
Sijaona popote alipomkashifu au kumtukana mtu sasa sorry sorry za kazi gani? Wewe leta nondo tu kama kuna mtu kakwazwa na ukweli shauri yake. Kuwa kama Dr. H.E. William B. Mkapa.

Ccm ni sawa na sikio la kufa tu
 
Kwa kweli kwa mtu ambaye anatakiwa kunyimwa kura ni Wassira. Amewadanganya wananchi wa Bunda mjini kuwa maji yatapatikana katika muda wa miezi miwili na agizo hilo alilitoa Mtoto wa mkulima alipozuru Bunda. Mpaka leo ahadi hiyo haijatekelezwa na bado anaomba uwakilishi tena. Imetosha tumjaribu na mwingine wa UKAWA.
 

Kweli mkuu ccm wametutesa sana hapa bunda chini ya uwakilishi wa wasira na yeye hajari chochote
 
Kapige kura sio unaipiga chini CCM kwa mdomo.
Mshawishi DC wenu Mirumbe aihame CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…