Bunda ni ngome ya CHADEMA

Bunda ni ngome ya CHADEMA

Lai Otieno

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
311
Reaction score
90
Wana JF leo ndo nimeamini kuwa Bunda Mjini ccm haipo na kwa sasa ni ngome ya Chadema picha naweka muda sio mrefu kuonesha msfara wakurudisha form kwa wagombea wote wawili.
 
Wana JF leo ndo nimeamini kuwa Bunda Mjini ccm haipo na kwa sasa ni ngome ya Chadema picha naweka muda sio mrefu kuonesha msfara wakurudisha form kwa wagombea wote wawili.
Acha umbeya
 
Dr. Webiro na makamanda wote mliopo Bunda pongezi ziwafikie kwa kuitokomeza ccyem hapo Bunda!.mbarikiwe sana!
 
Mbona huweki picha? Au umepitia Chibunu kupata moja bariidi kwanza?
 
bunda ccm hawapo kabisa huo ndio ukweli mkuu
 
Kweli wametisha, Ccm inaanguka Bunda, ccm inaangamia Bunda
 
Back
Top Bottom