mchambuzixx JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,292 Reaction score 946 Aug 31, 2015 #1 Wagombea wa ukawa wameshinda rufaa zao ...rufaa nyingine zinaendelea kusikilizwa
Lizaboni JF-Expert Member Joined Feb 21, 2013 Posts 33,901 Reaction score 20,410 Aug 31, 2015 #2 Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi.
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,372 Reaction score 5,124 Aug 31, 2015 #3 Kwa hiyo Chanyegea anarudi kwenye game kule Bumbuli sio? Magoli ya mkono yamekataliwa asubuhi mapema !!!!!!!
Kwa hiyo Chanyegea anarudi kwenye game kule Bumbuli sio? Magoli ya mkono yamekataliwa asubuhi mapema !!!!!!!
M msama mwita Member Joined Nov 22, 2014 Posts 8 Reaction score 1 Aug 31, 2015 #4 Hili lako wewe mbona upendi maendeleo hata waliokata rufaa walikuwa wanaogopa kushidwa
KIBARAone JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 642 Reaction score 243 Aug 31, 2015 #5 Makamba arudi nyumba inaungua
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,625 Reaction score 1,780 Aug 31, 2015 #6 Good newz
T Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 3,041 Reaction score 2,417 Aug 31, 2015 #7 Kazi ya Mungu inaendelea.....
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,451 Aug 31, 2015 #8 Majizi majimboni huko yameumbuka.... Lazima yatafute ajira kwa jasho. yataisoma namba
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,625 Reaction score 1,780 Aug 31, 2015 #9 Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... Kama umepanic mkuu
Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... Kama umepanic mkuu
BAFA JF-Expert Member Joined Jul 19, 2011 Posts 3,059 Reaction score 5,937 Aug 31, 2015 #10 Daaah kino wanachukuwa ukawa kweupeee
BAFA JF-Expert Member Joined Jul 19, 2011 Posts 3,059 Reaction score 5,937 Aug 31, 2015 #11 Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... Labda kama uchaguzi Wa mkeo lkn uchaguzi wanashinda hasa kino
Lizaboni said: Hata wakishinda rufaa hawawezi kushinda uchaguzi. Click to expand... Labda kama uchaguzi Wa mkeo lkn uchaguzi wanashinda hasa kino
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,569 Aug 31, 2015 #12 Kama ni kweli nimefurahi sana, tena kupita maelezo. Huu ujinga wa CCM kuweka pingamizi ni primitive sana.
Kama ni kweli nimefurahi sana, tena kupita maelezo. Huu ujinga wa CCM kuweka pingamizi ni primitive sana.
S Sazira kwetu Senior Member Joined Aug 23, 2015 Posts 155 Reaction score 104 Aug 31, 2015 #13 mchambuzixx said: Wagombea wa ukawa wameshinda rufaa zao ...rufaa nyingine zinaendelea kusikilizwa Click to expand... Kama taarifa zako ni kweli basi watu wataanza kuiamin tume ya uchaguzi ya taifa na kuwa ndio kimbilio la kutafta haki na usawa
mchambuzixx said: Wagombea wa ukawa wameshinda rufaa zao ...rufaa nyingine zinaendelea kusikilizwa Click to expand... Kama taarifa zako ni kweli basi watu wataanza kuiamin tume ya uchaguzi ya taifa na kuwa ndio kimbilio la kutafta haki na usawa
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,213 Reaction score 99,974 Aug 31, 2015 #14 Hahahaaaaaaa safi sana hadi raha
Msulibasi JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 5,957 Reaction score 8,005 Aug 31, 2015 #15 mchambuzixx said: Wagombea wa ukawa wameshinda rufaa zao ...rufaa nyingine zinaendelea kusikilizwa Click to expand... Naomba taarifa maana nimekuta AZAM TV wakimalizia kuhusu JAFFAR aliyewekewa pingamizi na CCM hali ikoje mkuu wangu wameamuaje hawa jamaa
mchambuzixx said: Wagombea wa ukawa wameshinda rufaa zao ...rufaa nyingine zinaendelea kusikilizwa Click to expand... Naomba taarifa maana nimekuta AZAM TV wakimalizia kuhusu JAFFAR aliyewekewa pingamizi na CCM hali ikoje mkuu wangu wameamuaje hawa jamaa
C chota tosumsindo Member Joined Jul 12, 2015 Posts 9 Reaction score 2 Aug 31, 2015 #16 Hakuna ushindi wa mezani...kama wanajiamini wasubir dakika 90
Abdul Mohammed JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 1,331 Reaction score 860 Aug 31, 2015 #17 Asprin said: Majizi majimboni huko yameumbuka.... Lazima yatafute ajira kwa jasho. yataisoma namba Click to expand... Walifikiri watapita kilaini View attachment 282487
Asprin said: Majizi majimboni huko yameumbuka.... Lazima yatafute ajira kwa jasho. yataisoma namba Click to expand... Walifikiri watapita kilaini View attachment 282487
Msulibasi JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 5,957 Reaction score 8,005 Aug 31, 2015 #18 Moshi mjini jaffar
Cathode Rays JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 1,738 Reaction score 1,495 Aug 31, 2015 #19 Elli said: Hahahaaaaaaa safi sana hadi raha Click to expand... Mpwa naona sasa wagosi kule nyumbani wataimiss CCM na Makamba wake....
Elli said: Hahahaaaaaaa safi sana hadi raha Click to expand... Mpwa naona sasa wagosi kule nyumbani wataimiss CCM na Makamba wake....
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,797 Aug 31, 2015 #20 watu pipoooooooo!!!! bumbuli tukamtoe mb 8, miswada ya ajabu ajabu na ccm yao hatutaki...