Bull Dog - Dar es salaam

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
8,902
Reaction score
33,092
Wakubwa habari za majukumu, Jamani naomba msaada kama kuna mtu anauza watoto wa Bull dog au amesikia mahali wanapatikana anijulishe ninahitaji, hata kama si Dar ila ni ndani ya Tanzania, msaada tafadhali.

Wenu katika ujenzi wa Taifa,
Kambaku
 
Nenda pale maeneo ya Victoria wanapouza mbwa, kama hautapata basi watakufanyia mpango uwapatae maana wale wanajua deals zote za mbwa hapa dar. Ila kuna kiasi utawalipa kwaajili ya kukutafutia.
 
ozi
Asante sana kiongozi, nitawaibukia pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…