Bulembo: Fatma Karume akae pembeni

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,789
Aliekuwa Meneja wa kampeni za mgombea urais wa CCM, Abdallah Bulembo, amesema haoni dosari katika uamuzi wa kufuta uchaguzi n akamshuri mtoto aliekuwa Rais wa Zanzibar, Fatuma Karume akae pembeni.

Aliendelea kusema " Fatuma Karume ni nani kusema maneno hayo. Ukizaliwa katika familia ya Rais, so who are you? Uchaguzi wa Zanzibar ulifanyika na kufutwa kisheria"

Bwana Bulembo haukitaja kifungu hicho cha sheria kilichotumika kufuta uchaguzi huo.
 
Bulembo, wazanzibari hawaogopi kwenda mahakamani na hilo CCM wanalijua na ndio wanalolitaka. CCM bara wanataka upinzani wende mahakamani ili kesi ibaki mahakamani kupigwa kalenda kwa miaka kama vile wanavyofanyiwa masheikh wa UAMSHO huku nchi ikiendelea kutawaliwa na mtu ambae si chaguo la wazanzibari waliowengi.

Kinacho nihangaisha akili ni Mamlaka gani ilompa uwezo Bulembo wa kuisemea Zanzibar na watu wake na Mamlaka inayomnyima Fatma Karume kufanya hivyo

1 Fatuma Karume ni mzanzibari tena ni mpiga kura na anachopigania ni haki yake ya msingi kama mzanzibari na kuwatanabahisha watu wasinyan'gan'ywe haki yao ya kuchagua wakitakacho na sio kile wanachokitaka watawala wenye sura za akina Bulembo

2. Bulembo masuala ya Zanzibar hayakuhusu. Nani aliekupa kiburi kuchagua nani aseme na nani aseme

3 Huo uchaguzi anao utabiri atakuja yeye Bulembo na genge lake kuja kupiga kura kama ilivyozoeleka?

Wazanzibari tumeshaamua kupitia sanduku la kupiga kura inayomaanisha kuwa tumechoka kutawaliwa kimabavu na CCM Bara

Inanipa taabu kuamini kuwa eti kupitia mikakati yake ya kampeni ndio iliomfanya Dr. Magufuli kuibuka mshindi, sio, ni rehema na majaaliwa yake mungu tu.

Bulembo kemea bomoabomoa zinazoendelea lakini huna sifa na mamlaka ya kufunguwa kinywa chako kuhusu uchaguzi wa Zanzibar kwa sababu huna weledi huo.

Usione aibu Fatma KARUME ni kama mwanao muombe tu akupe darasa la jioni na kuacha kubwabwaja kama umesomewa ahlal Badr ya mbayana!
 
bulembo si msemaji wa tume ya zanzibar wala tanzania bara na wala si msemaji wa serikali hali kadhalika fatma si msemaji wa tume ya uchaguzi zanzibar wala tanzania bara na wala si msemaji wa serikali si zanzibar wala tanzania bara kwa hiyo hayo maneno yao ni kama ugomvi wa mitaani tu ambao kila mpita njia akipita atasimama kushangaa kisha kuendelea na mambo yake.
 
Kwani wewe Bulembo in nani hata umwambie Fatma akae pembeni? We we bulembo in mchumia tumbo tu huna uwezo Wa kumwambia Fatma akae pembeni we we ndio Wa kukaa pembeni
 
Bulembo, wazanzibari hawaogopi kwenda mahakamani na hilo CCM wanalijua na ndio wanalolitaka. CCM bara wanataka upinzani wende mahakamani ili kesi ibaki mahakamani kupigwa kalenda kwa miaka kama vile wanavyofanyiwa masheikh wa UAMSHO huku nchi ikiendelea kutawaliwa na mtu ambae si chaguo la wazanzibari waliowengi.

Kinacho nihangaisha akili ni Mamlaka gani ilompa uwezo Bulembo wa kuisemea Zanzibar na watu wake na Mamlaka inayomnyima Fatma Karume kufanya hivyo

1 Fatuma Karume ni mzanzibari tena ni mpiga kura na anachopigania ni haki yake ya msingi kama mzanzibari na kuwatanabahisha watu wasinyan'gan'ywe haki yao ya kuchagua wakitakacho na sio kile wanachokitaka watawala wenye sura za akina Bulembo

2. Bulembo masuala ya Zanzibar hayakuhusu. Nani aliekupa kiburi kuchagua nani aseme na nani aseme

3 Huo uchaguzi anao utabiri atakuja yeye Bulembo na genge lake kuja kupiga kura kama ilivyozoeleka?

Wazanzibari tumeshaamua kupitia sanduku la kupiga kura inayomaanisha kuwa tumechoka kutawaliwa kimabavu na CCM Bara

Inanipa taabu kuamini kuwa eti kupitia mikakati yake ya kampeni ndio iliomfanya Dr. Magufuli kuibuka mshindi, sio, ni rehema na majaaliwa yake mungu tu.

Bulembo kemea bomoabomoa zinazoendelea lakini huna sifa na mamlaka ya kufunguwa kinywa chako kuhusu uchaguzi wa Zanzibar kwa sababu huna weledi huo.

Usione aibu Fatma KARUME ni kama mwanao muombe tu akupe darasa la jioni na kuacha kubwabwaja kama umesomewa ahlal Badr ya mbayana!
Wazanzibari mna matatizo ya kuzaliwa nayo.
Ni wabishi kupindukia, na katika ubishi huo mnaishia kuwa masikini.
Ninyi kwa ninyi hampatani kwa jambo lolote!
Mnaulea umasikini wenyewe, hakafu mnamtafuta Magufuli awafafanulie!
 
bulembo si msemaji wa tume ya zanzibar wala tanzania bara na wala si msemaji wa serikali hali kadhalika fatma si msemaji wa tume ya uchaguzi zanzibar wala tanzania bara na wala si msemaji wa serikali si zanzibar wala tanzania bara kwa hiyo hayo maneno yao ni kama ugomvi wa mitaani tu ambao kila mpita njia akipita atasimama kushangaa kisha kuendelea na mambo yake.

Mhhh!
 
Tatizo la Zanzibar,linasababishwa na mkoloni wa kupangwa TANGANYIKA,kujifunika BLANKETI la TANZANIA ,tena mchana wa jua kali haioni hata joto,lakini wazanzibar wanajitambua kitambo sana kulikotwa Tanganyika,ndo maana CCM imekula kwao Znz imebuma,ndo unasikia wanajitokeza MAZOMBI na VINYAGO aina ya BULEMBO.
 
Back
Top Bottom