Cardinal06
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 963
- 327
Hahahahaha mbona bongo mtoto wa kizaramo miezi minne tu anaongea kizaramo vzur tuAmenikumbusha Mbunge mmoja miaka ya 1970 mwanzoni, walienda ziara Uingereza na kamati yake basi aliporudi akaulizwa umeyaonaje maendeleo ya kule tofauti na hapa? Akajibu " kwa kweli wenzetu wako mbali sana, kule mtoto wa miaka mitano anazungumza English sio mchezo bwana! Kwa kweli kwa elimu wako mbali sana"
Kwani nimesema bulembo msukuma?
Karudie kusikiliza vizuri yale mazungumzo pale alimaanisha kuwa mtu ameshusha kiapo bila kusoma, kwa tafsiri kuwa ni mlemavu wa macho. Kumbuka pia aliongelea na uteuzi wa watu walemavu wengine nje na yule mlemavu wa machoOKW BOBAN SUNZU 15000946 said:Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa
Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa
Kama hujuikitu nyamza!!!Sumaye alikuwa na diploma akiwa WM alipomaliza akaenda havard kusoma ssasa sikuelewi kuunga unga kupi?Mkuu wa kaya mwenyewe alianza na dip then akaenda kufanya bachelor so nae kaungaunga,Kama hujui kitu nyamaza.waliounga unga ni watu wa darasa la saba then unasikia ana mastersInaonekana wewe ni mzaliwa wa 1990s wakati tunamwita Sumaye Zero ulikuwa hujazaliwa.
Sumaye ndio muanzilishi wa viongozi wa siasa kuanza kusoma kwa kuungaunga kwenye mitandao
100%Una uhakika kama Bulembo darasa la saba?
Tangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu
Ohooooo...kuwa makini..usije kuta babayako halisi ni msukumaBulembo=msukuma=zero brain
Hakuanguka kaangushwa au unafumba macho kujifanya huoniachana nae mkuu huyo lazima tu atakuwa ni wa kaskazini tu hivyo bado anaweweseka na kichapo kikali ambacho CCM imewafanyia huku MFALME NJOZI wao waliyemtaka awe Rais akianguka vibaya na sasa hata wale waliokuwa wakimsapoti wanamgeuka na kumcheka. kweli nimeamini bora uwe mjinga kuliko kuwa mpumbavu.
Mkuu unajichekesha bila ya sababu lakini mwaka huu mnakazi kweli spindi ya magufuli imewaaacha mdomo wazi pole mlikosea sana kufungamana na mafisadi.Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa