Bulembo ametia fora

bulembo asingekuwa mwanasiasa angekuwa comedian
 
Una uhakika kama Bulembo darasa la saba?
 
BULEMBO NI MUHAYA.USIDHANI MAGUFURI ANAMARAFIKI WASUKUMA TU.HATA KWENYE TEUZI ZAKE ANAANGALIA ELIMU SIYO UKABILA
Achana na mp.umbavu huyo, Nilitaka kuijibu comment yake ila Nikaona Nimpuuze tu maana wenye mawazo kama yake huwa wana asili ya ujinga fulani.
 
Na tuna mpango wa kujitenga tuwe nchi hatuwezi kukaa na mazuzu

Mjitenge tu hata kesho, kwani ni nani amewakataza,, sasa sijui kati yetu nani nyie nani ni mazuzu, mtawaliwa au mtawala, maana mnahitaji kujitenga halafu hamuwezi, mnautaka urais mnashindwa kuupata.. sasa nani boya..
 

Ndio mana mnaambiwa tz bado sana, sasa kama kiongoz mkubwa wa chama ana mtazamo huu unategemea nn kwa walioko chini... na je unategemea nn akili ya mwananch wa kawaida itakuweje..
Poor tz.. Haya maigizo yataisha pind wananchi wakielimika vya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…