Bulembo ametia fora

Unajua kichapo ambacho ccm imepata huku kaskazini ccm ilishakufa
 
U
umeeleweka Kwa asilimia 100 kabsa mkuu.
 
Kam


Kama Mr Ziro summaye
Tuwaheshimu watu.Kumlinganisha Bulembo na Sumaye ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu.Bulembo ni darasa la saba failure sumaye ni diploma holder na Bachelor holder tena kutoka the best university in the world ambako bulembo hawezi pata hata kibarua cha kufagia kwa kuwa wafanya usafi wa havard qualification zao ni sawa na form six wa hapa Tz.Manake ili bulembo awe na qualification ya kuwa mfanya usafi wa chuo alichosoma Sumaye anatakiwa afanye QT miaka miwili then QT ya a level miaka miwili tena so asome miaka minne aweze kuwa na qualification ya kufanya usafi chuo alichosoma sumaye.Sitaki kuingia kiundani kuhusu nini Sumaye amewahi kulifanyia taifa na wala sitaki kuwatofautisha kwa legacy zao ila hichi kidogo tu naona umeona niaje hawa watu wawili hawawezi fananishwa.
 
INAWEZEKANA NI NDUGU WA MMOJA UU ZAIDI YA WALIOKUWA WANAAPISHWA
Dada Mbona hueleweki?Kiswahili nachokimekuwa shida?Tukikwambia badili hiyo sentensi iwe kwa kiingereza?Eti ndio tulitaka lugha ya kufundishia iwe kiingereza!!!!! Kiswahili ambacho tumezaliwa tunakiongea ni shida sasa lugha ya wenzetu ingekuwaje? Hapa kweli tungeakiwa tubadili tena div 5 iwe div 6 tena.
 
UKABILA NA MAWAZO HAYO !! HADI LINI JAMANI ? MNATAKA KUUANZISHA TENA ? MIE AKA ! $ITAKIII.
 
Sawa sio msukuma, swali ni alikuwa anafanya nini Ikulu?
Kufanya nini Ikulu! Swali mbona la kijinga hili! Kwani wewe nani kakwambia ulishindwa kwenda!? Wakati wa kuapishwa mtu anaweza kualika mtu wake yeyote wa karibu. Mfano, wewe ungekuwa unaapishwa, kama una rafiki yako, unaruhusiwa kumualika...idadi ya watu wako isizidi watu watatu.

Ikiwa hamjui kuhusu taratibu ni vyema mkauliza mueleweshwe kuliko kufanya siasa hata kwenye mambo ya kiprotoko.
 
Nimewauliza wamesema wasukuma hawana akili
Kumbe Kamanda Mawazo hakuwa na akili! Basi sasa nimeelewa kwanini CCM walikuwa hawataki maiti yake iagwe kwenye viwanja vya furahisha. Na nimepata picha kwanini Watanzania wameikataa UKAWA...maana Mbowe, Lowassa na kundi lao wote walikuwa wakigombania maiti ya mtu ambae hana akili! Basi bila shaka na wao watakuwa hawama akili tu. Kwa mujibu wa kauli yako.

You don't have to reply this statement...because I wont even read your comment. In fact...you're already in my ignore list.
 
Bulembo ndio kiboko ya lowassa wakati wa kampeni!!

CCM OYEE
 
Bulembo alimuongelea Mpanju na uwezo wa kuapa bila kusoma...Mpanju ni mlemavu wa macho ...hivyo kwa kufanya aliyoyafanya inareflect uwezo wake kiakili.

Sasa kuna vilaza humu hamuamini hilo!
 
Kwa lugha nyingine Bulembo anasema Mpanju ana uwezo wa kukumbuka kuliko yule mgombea urais wa UKAWA !!
 
Inaonekana wewe ni mzaliwa wa 1990s wakati tunamwita Sumaye Zero ulikuwa hujazaliwa.

Sumaye ndio muanzilishi wa viongozi wa siasa kuanza kusoma kwa kuungaunga kwenye mitandao
 
Mropokaji Bulembo.. Akianza kuongea kama ana harisha. Hakuna tofauti kati ya Nape na Bulembo
 
That pity last statement you made lol do you think I care happily you won't read my comments so *** you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…