Bulembo ametia fora

Hata kama unauzoefu au umekariri kiasi gani, kiapo kinatakiwa kusomwa sio kusema bila kusoma. Akikosea au kuacha neno au herufi moja tu inaweza kuathiri maana nzima ya kiapo na kukifanya batili. Ni mjinga tu ndio anaweza kusifia ujinga huo.
 
Last edited:
Huyu Bulembo nadhani shule yake siyo zaidi ya K4 tena ya kuhudhuria tu. Sijawahi kumsikia akitoa statement ambayo ndani yake hakuna ukakasi. Ona leo anaona mru fundi wa kukariri ana akili. Hopeless kabisa.
 
Tangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu
Haki ya nani pamoja na kwamba Mimi ni UKAWA lakini hapo umenichefua, tuombe radhi Wasukuma haki ya nani! Yaani sisi hawa ndo hatuna akili? Waulize Dada zako habari ya Wasukuma watakwambia!
 
Su
Huyu Bulembo nadhani shule yake siyo zaidi ya K4 tena ya kuhudhuria tu. Sijawahi kumsikia akitoa statement ambayo ndani yake hakuna ukakasi. Ona leo anaona mru fundi wa kukariri ana akili. Hopeless kabisa.
Mr ziro summaye vipi?
 
J

Kama.mkapa alimpa nafasi Mr ziro kuwa waziri mkuu na baadae akasahau alichokifanya miaka kumi akiwa waziri mkuu unaweza sema nini acha wafanye kazi,
 
Amenikumbusha Mbunge mmoja miaka ya 1970 mwanzoni, walienda ziara Uingereza na kamati yake basi aliporudi akaulizwa umeyaonaje maendeleo ya kule tofauti na hapa? Akajibu " kwa kweli wenzetu wako mbali sana, kule mtoto wa miaka mitano anazungumza English sio mchezo bwana! Kwa kweli kwa elimu wako mbali sana"
 
Acha madharau dogo

achana nae mkuu huyo lazima tu atakuwa ni wa kaskazini tu hivyo bado anaweweseka na kichapo kikali ambacho CCM imewafanyia huku MFALME NJOZI wao waliyemtaka awe Rais akianguka vibaya na sasa hata wale waliokuwa wakimsapoti wanamgeuka na kumcheka. kweli nimeamini bora uwe mjinga kuliko kuwa mpumbavu.
 
Tukiwa primary mtu ambaye alikuwa anajibu swali bila kuangalia kwenye daftari kwa ujanja ujanja tulimwita kichwa sasa kwa kuwa jamaa hakuendelea na elimu hakuweza kujua yalayokuwa yanatokea o'level, A'leve hadi bachelor so msimcheke jamani huo ndio upeo wake kabisa na hana kosa.Sijui nimeeleweka?
 
Duh ndio faida ya kuteua wasomi full kukariri
 
Haki ya nani pamoja na kwamba Mimi ni UKAWA lakini hapo umenichefua, tuombe radhi Wasukuma haki ya nani! Yaani sisi hawa ndo hatuna akili? Waulize Dada zako habari ya Wasukuma watakwambia!
Nimewauliza wamesema wasukuma hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…