Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,074
- 137,948
Taratibu vioja vinajitokezaBulembo alikuwa anafanya nini Ikulu?
cc @G Sam
Bulembo=msukuma=zero brain
KWENDA KULE NANI ALIKUAMBIA BULEMBO NI MSUKUMA?Tangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu
Bulembo si msukuma ni muhaya..!Bulembo=msukuma=zero brain
Kwani nimesema bulembo msukuma?KWENDA KULE NANI ALIKUAMBIA BULEMBO NI MSUKUMA?
Umuazime nani huo UZWAZWA wakoTangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu
mhaya mnyantuzu msukuma mnyamwezi ikishindikana mkuria mgita wengine basi tuBULEMBO NI MUHAYA.USIDHANI MAGUFURI ANAMARAFIKI WASUKUMA TU.HATA KWENYE TEUZI ZAKE ANAANGALIA ELIMU SIYO UKABILA
umekaaa ki mahaba sanaKWENDA KULE NANI ALIKUAMBIA BULEMBO NI MSUKUMA?
sijajua hizi teuzi, watu wameteuliwa wengine ili kuonekana kukidhi makundi yote ya kijamii na rais apate sifa kwamba anajali makundi yote, au nini. mtaniwia radhi, kuna wengine nimeona kama amewapa mzigo mzito sana ulio juu ya uwezo wao. natarajia kuangalia kama watafanya mabadiliko yeyote, sijui.hapo ndipo nitakuja na kauli, ila sijui?Akihojiwa na mwandishi wa habari pale ikulu wakati wa kuapishwa kwa makatibu wakuu Bulembo amesifia uteuzi.Amenichekesha aliposema Magufuli kachagua vichwa eti kwa kuwa kuna katibu mkuu mteule amekula kiapo bila kusoma karatasi.Haaah haah kumbe ambao wanasoma kiapo sio vichwa
Acha madharau dogoTangu lini msukuma akawa na akili timamu?? Waje arusha tuwaazime zetu
Nani dogo jiheshimu dogoAcha madharau dogo
Bora umwaambieumekaaa ki mahaba sana