Wameisoma namba si CCM wala police Watanzania wameamua.Magufuli hajajua kuwa Bulembo anamharibia kila kitu.Magufuli tumemwambia vihiyo kama Bulembo awafukuze hataki amevaa tintedi shauri yake atajilaumu
Tatizo la CHADEMA wanachama wao wanakunywa viroba.Hawafuatilii hata Tume ya uchaguzi inachoagiza.Na viongozi nao wa CHADEMA ni kunywa viroba tu hawawaelimishi wanachama wao sheria za mikutano.
Hairuhusiwi mtu wa chama kingine kwenda mkutano wa mtu wa chama kingine kwenda kuzomea au kumfanyia fujo .Unaruhusiwa kwenda kusikiliza si kuzomea au kufanya fujo.
Wakipigwa na virungu na mabomu kwa kuingilia mikutano ya watu kwa kuzomea au kufanya fujo wanaanza kupiga yowe ohh!! POLISI WANATUONEA.Hilo haliongezi kura linawapunguzia.Kwani watu wanawaona CHADEMA ni watu wasiojali sheria.Ukiwapa nchi watakuwa hawazingatii utawala wa sheria.Kama hili tu la kuzingatia sheria za mikutano hawawezi wakipewa nchi wataweza?
Mkutano kama haukuhusu una uhuru wa kwenda au kutokwenda.Usiende kufanya fujo mikutano ya watu wengine.CHADEMA PUNGUZENI UNYWAJI VIROBA.
Lakini ktk sheria za uchaguzi kuna kipengere cha kuzui kutoa lugha za matusi na kashifa dhidi ya mgombea,
Tatizo la CHADEMA wanachama wao wanakunywa viroba.Hawafuatilii hata Tume ya uchaguzi inachoagiza.Na viongozi nao wa CHADEMA ni kunywa viroba tu hawawaelimishi wanachama wao sheria za mikutano.
Hairuhusiwi mtu wa chama kingine kwenda mkutano wa mtu wa chama kingine kwenda kuzomea au kumfanyia fujo .Unaruhusiwa kwenda kusikiliza si kuzomea au kufanya fujo.
Wakipigwa na virungu na mabomu kwa kuingilia mikutano ya watu kwa kuzomea au kufanya fujo wanaanza kupiga yowe ohh!! POLISI WANATUONEA.Hilo haliongezi kura linawapunguzia.Kwani watu wanawaona CHADEMA ni watu wasiojali sheria.Ukiwapa nchi watakuwa hawazingatii utawala wa sheria.Kama hili tu la kuzingatia sheria za mikutano hawawezi wakipewa nchi wataweza?
Mkutano kama haukuhusu una uhuru wa kwenda au kutokwenda.Usiende kufanya fujo mikutano ya watu wengine.CHADEMA PUNGUZENI UNYWAJI VIROBA.
Hili mbona ni swali la kawaida tu kwenye mkutano ya kisiasa? Mtoa hotuba aweza uliza wanawake mpo???? Wanajibu tupo.Anauliza wanaume mpoooo???? Wanajibu tupo.Anauliza vijana mpoooo??? Wanajibu tupoOOO?? Sasa nongwa ganbi kuuliza CHADEMA mpoooo?? ILitakiwa wajibu tupoooo bila kumzomea wala kufanya vurugu yeyote.SABABU MIKUTANO yote wanakuwepo wanachama wa vyama tofauti tofauti na wasio na vyama ambao huja pale kusikiliza ili tarehe 25 october waamue wampigie nani.CHADEMA siasa za vyama vingi inaonyesha wako nyuma sana.Hawajui ustaarabu wa mikutano.Hata CCM kibao mbona wanaenda mikutano ya CHADEMA? ILA HUWA WANAENDA KUSIKILIZA SI KUZOMEA AU KUFANYA FUJO.
CHADEMA makambako mnachotaka kusema ni kuwa ruksa kwa wanachama wa vyama vingine kuja mikutano yenu kuzomea na kufanya vurugu? Jifunmzeni ustaarabu wa kisiasa mikutano.Mngejibu tupo na mkamsikiliza kimya na msiporidhika mngejiondokea kimywa kwani hamkubebwa na lori wala fuso kuja mikutanoni mmejileta wenyewe.
Utamaduni wa kwenda kuzomea watu kwenye mikutano yao ambayo sio yenu utawagharimu mkipigwa na wanachama wao wenye hasira au polisi msipige yowe.

Sasa asingekashifu afya ya mtu kwani angezomewa???Nini Lengo lake kuuliza kama wanachama wa chadema wapo kwenye mkutano huo??Hili mbona ni swali la kawaida tu kwenye mkutano ya kisiasa? Mtoa hotuba aweza uliza wanawake mpo???? Wanajibu tupo.Anauliza wanaume mpoooo???? Wanajibu tupo.Anauliza vijana mpoooo??? Wanajibu tupoOOO?? Sasa nongwa ganbi kuuliza CHADEMA mpoooo?? ILitakiwa wajibu tupoooo bila kumzomea wala kufanya vurugu yeyote.SABABU MIKUTANO yote wanakuwepo wanachama wa vyama tofauti tofauti na wasio na vyama ambao huja pale kusikiliza ili tarehe 25 october waamue wampigie nani.CHADEMA siasa za vyama vingi inaonyesha wako nyuma sana.Hawajui ustaarabu wa mikutano.Hata CCM kibao mbona wanaenda mikutano ya CHADEMA? ILA HUWA WANAENDA KUSIKILIZA SI KUZOMEA AU KUFANYA FUJO.
CHADEMA makambako mnachotaka kusema ni kuwa ruksa kwa wanachama wa vyama vingine kuja mikutano yenu kuzomea na kufanya vurugu? Jifunmzeni ustaarabu wa kisiasa mikutano.Mngejibu tupo na mkamsikiliza kimya na msiporidhika mngejiondokea kimywa kwani hamkubebwa na lori wala fuso kuja mikutanoni mmejileta wenyewe.
Utamaduni wa kwenda kuzomea watu kwenye mikutano yao ambayo sio yenu utawagharimu mkipigwa na wanachama wao wenye hasira au polisi msipige yowe.
Huyu Bulembo hivi sera yake ni ugonjwa wa Lowasa tu hana cha kuambia wananchi CCM imefanya ndani ya miaka 54 na inatarajia kufanya nini?!
Ndg yangu Bulembo acha siasa za maji taka,zimepitwa na wakati,wambie wananchi mtawafanyia nini iwapo mtashinda,la sivyo kila utapokwenda utazomewa!
Tatizo la kulelewa kusoma ili ujibu mtihani na kufaulu linatuharibia watz..soma uzi mzima wa mtoa mada uone kama utaendelea kuuliza maswali.
Issue sio kunyoosha vidole walizomea pale alivyoanza kujinadi kwa kutumia maneno mbovumbovu ya kusema lowasa mgonjwa..
Mwambieni akienda arusha nako aseme hayo km hajarudi kwenye sanduku
Kweli hatutaki kusikia kashfa za lowasa au sumaye tuelezeni mmetufanyia nini na mnakusudia kufanya nini kujinyea mgonjwa sii kauli ya kistaarabu kwa nchi hii ya amani