Bulb/ mbegu za zafarani

Bulb/ mbegu za zafarani

ummy kaunga

New Member
Joined
Jun 10, 2015
Posts
4
Reaction score
6
Habarini? Naomba mnifahamishe sehemu ntakapo pata mbegu za zafaran (saffron bulb) nataka nianze hiki kilimo. Msaada plizz
 
Big up mkuu
Hivi inawezekana kulimwa huko maana inalipa haswa
 
Hope inawezekana muhimu ni kujaribu, zinahitaji jua la kutosha na ardhi yenye rutuba tuu.
It's the world most expensive spice
Iran ndio walimaji wakubwa
Spain pia ingawa siku hizi dunia imeharibika wanachukua toka iran na kuandika produce in Spain.
Jaribu mkuu ni zao ghali sana duniani
 
Habarini? Naomba mnifahamishe sehemu ntakapo pata mbegu za zafaran (saffron bulb) nataka nianze hiki kilimo. Msaada plizz
Naomba kujua wapi naweza kupata mbegu. Niko Mkuranga PWANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom