Bukombe hospital wakataa misaada toka kwa wasamaria wema

balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
7,690
13,578
Wagonjwa wa hospital ya Bukombe wamekataa zawadi za pasaka na wametaka wapelekewe dawa na sio zawadi. Hospitali yao haina dawa kwa muda mrefu.
Ila serikali inajinadipo imepeleka dawa.
Chanzo: Wapo radio.
 
Back
Top Bottom