Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,067
Mtuhumiwa wa kesi ya dawa za kulevya aina ya bangi mkazi wa Kibeta Bukoba afariki dunia akiwa mahakamani, sababu za kifo hazijajulikana.
Mshtakiwa huyo aliyefahamika kwa jina la Hamis Malindo (30), anayekabiliwa na mashitaka ya kusafirisha dawa za kulevya, ameanguka katika chumba cha Mahakama baada ya kusomewa mashitaka yanayomkabili.