Akilitime
JF-Expert Member
- Dec 27, 2017
- 581
- 757
Bukoba ni moja kati ya manispaa za kihistoria kabla na baada ya Uhuru.
Lakini ajabu huu mji umebaki historia ya maneno na sifa za kihaya tu
Kwanza ukifika bukoba mjini utadhani upo wilaya ya Nachingwea. Yani manispaa haina hata stand. Kipo kistand cha kuzugia kimejaa mashimo na vumbi.
Ukifika bukoba mjini utakitana na majumba ya zamani sana itahisi upo Newala.
Bukoba imepitwa hata Singida.
Eti bukoba ijilinganishe na kilimanjaro?
Ukweli ni kwamba Manispaa ya bukoba imefanana na mji mdogo Hai Boma.
Bukoba kwasasa imebaki kwenye ranks za mikoa ya Tabora. Ruvuma. Lindi. Katavi. Simiyu. na Songwe.
Bukoba inaongoza kuwa na wasomi wengi kwanini maendeleo mengine hayaonekani? Je tatzo liko wapi? Ni serikali au jamii ya Bukoba kutopenda kwao?
Hata wawekezaji kule hamuna kabsa.
Karibu maprofesa. Natajiri mliojichimbia huko Dar. UK na USA mkaijenge Bukoba yetu. Kwasasa kilichopo ni aibu tupu.
Tujipende na tupende wa nyumbani