Bukoba Airport haina control tower?

Bukoba Airport haina control tower?

supersembe

Member
Joined
Aug 23, 2022
Posts
33
Reaction score
51
Habari za kuaminika uwanja wa ndege Bukoba unaendeshwa kwa msaada wa control tower ya Mwanza.

Rubani wa ndege kuruka na kutua Bukoba ni msaada toka Mwanza.

Maana yake hali ya hewa ikichafuka kama ilivyokuwa kwa Precision, rubani hana msaada toka Bukoba. Akitaka kutua kwa dharula, hana mtu wa kumuarifu aliyeko Bukoba. Taarifa anapeleka Mwanza.

Tangu mwaka 1964 hadi sasa ajali 5 za ndege zimetolewa Bukoba.
 
Hilo mbona linajulikana mkuu.
Ndio maana kulikuwa na mpango wa airport mpya.

Baadae wazo hilo likafa.. Airport ikapelekwa sehemu flani
 
Ndio maana Majaliwa anapongezwa kwa nguvu kubwa. Ni ngumu kumeza kuwa hakuna control tower.
 
Back
Top Bottom