Binafsi nimependa sana kuona kumbe hata haya mambo nyumbani yamefika na yanatoa huduma kwa watanzania wenzetu ikiwemo na wale walioko nje ya mkoa na hata nje ya nchi
Nakumbuka ni juzi niliweka uzi hapa jamvini uliokuwa ukilenga kupata kujua ni nini kinaendelea hapo nyumbani katika tathinia ya habari ikiwa ni pamoja na waandishi wetu wa habari ila kwa hii move naona njia na naamini tutafika
Wenzetu wameanza na ni nzuri wapenda maendeleo kwa pamoja tukaungana ili kuendeleza harakati hizi za ukombozi