Na Karagwe ya Tanzania. Hajapata nafasi tu!Kagame anaitaka sehemu ya RDC.
Mada yako umeiwasilisha 'kilevikilevi' hasa. Sijui kwa nini?Ila kama sio mchongo APA naomba raisi wangu chukuwa gwanda la kimobutu mwokozi ya zambe
Kama mbwai na iwe mbwai tu q
Bora lawama kuliko aibu
Kuna mkongo mmoja hapa kutwa kuimba lingala na kukatika malinga. Ukimwambia habari ya M23 anajibu "baache bapambane, nayua banaweza kutushinda kuvita, lakini kwa ile muziki yetu ya kongo, amini akuna bakutuweza". "Motema nangai dali kinyosoo eeh πΆπΆπΆπΆ Jamaa kajichubua hadi kucha kulaleki πππ€£π€£Gen. Wa Jeshi la Congo alisema nchi yao Ni ya 8 kwa ubora hapa Africa,sasa namna gani tena pale πππ
πππ Duh nimecheka kichizi,jamaa kazi ngumu ngumu hua hawataki kabisaaaKuna mkongo mmoja hapa kutwa kuimba lingala na kukatika malinga. Ukimwambia habari ya M23 anajibu "baache bapambane, nayua banaweza kutushinda kuvita, lakini kwa ile muziki yetu ya kongo, amini akuna bakutuweza". "Motema nangai dali kinyosoo eeh πΆπΆπΆπΆ Jamaa kajichubua hadi kucha kulaleki πππ€£π€£
PK akifanikiwa kuipasua Kongo then atahamia Kyerwa na Karagwe huyu.Kongo drc ni kubwa sana igawanywe.
Igawanywe alafu wapewe kina nani ?...Ina maana suluhisho la kudumu baada ya serikali ya Drc kushindwa kulinda ardhi yake ni kuigawa kama peremende?Kongo drc ni kubwa sana igawanywe.