Bujibuji na mchina wake

Haha haha, hahaha. .mkuu umenifurahisha sana nipo hapa hotel napata msosi nimecheka kwa sauti maana nipo alone mpk jamaa wengine wametabasam kwa hiki kicheko.
wewe ni mtu wa mama ntilie, acha kutuzuga
 

we kweli mtambo. Bujibuji in series.
 

Duuu wee mzee kulikoni tena mbona uliuanza mwaka vizuri ? Uzalendo umeshakushinda?
 

kwahyo kuku analiwa hotelini tu? Acheni upuuzi kuku ni kuku haijalishi unamla ukiwa hotelini au gengeni.
 

Kwenye red ndio nini?
 


uwiiiiih, ahaaaaaha, hahahaha, uhhuhhhhhhhhhh! Bujibuji mbavu zangu, eehhhhhh eeeeheeeee!

​
 

Attachments

  • image.jpg
    15.1 KB · Views: 341
  • image.jpg
    28.3 KB · Views: 76
Bujibuji hapo kwenye New Hardware found pamenifanya nicheke.
 
Last edited by a moderator:
ndo nini kunitoa machozi mkubwa mwezio?//loh..nimecheka na sasa nalia bila kupenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…