Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,074
- 34,844
Teh teh teh!kuna uhusiano mkubwa kati ya kitambi na uwepo wa fweza!Hahaha wenzetu wanashindana kwa elimu na teknolojia
lakini bongo ukiwa na kitambi ndio heshima na wanawake
watakushobokea
Duh!unaweza kufikiri ni wajawazito!
jamaa wana afya,.....imekubali.Hawa .ni walemavu...
Hahaha wenzetu wanashindana kwa elimu na teknolojia
lakini bongo ukiwa na kitambi ndio heshima na wanawake
watakushobokea
inategemea na muundo wa kitambi.Vitambi vinavyofunika nyeti vinatokana na pombe za kienyeji.Teh teh teh!kuna uhusiano mkubwa kati ya kitambi na uwepo wa fweza!
Hapo itokee wapate ukimwi, hutaamini macho yako.Hahaha wenzetu wanashindana kwa elimu na teknolojia
lakini bongo ukiwa na kitambi ndio heshima na wanawake
watakushobokea
Ni wapishi wa Hospitali ya taifa Muhimbili.Hawa watakuwa ni makonda wa daladala za dar es salaam.
Hahaha wenzetu wanashindana kwa elimu na teknolojia
lakini bongo ukiwa na kitambi ndio heshima na wanawake
watakushobokea