Yaani tangazo safi kabisa pamoja na kapicha, ila kitu ulichosahau mkuu ni kimoja tuBEI ya matofari yako, hicho tuuu.
Weka bei watu wajipime na kama una offer yoyote mfano usafiri, nk weka watu wajue mkuu itasaidia

Shukrani boss bei zetu nikama tofali ya nchi 6”full 1,250 tegeta,boko,bunju
6” 1,200 Mapinga,kerege,matumbi,kwa ahwazi
Bagamoyo 5” 1,000 4” oda maalumu
Chiping pia oda maalum