Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
A bite from the Brazilian wandering spider can cause an erection that lasts up to 4 hours
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio.. wengi hawata angalia hiloBila kusahau side effect yake inasababisha impotence
Mens watch out
Hahaha yaani kakupigia mida hii?kuna jamaa kanipigia anaulizia buibui mi sikumwelewa. kumbe ndio alitaka wa kumng'ata ili afanikishe azima yake.
Ntawafuga halafu nitatafuta mtaalamu wa kemikali tuweke prop nzuri kwaajili.yenu

Ndio, nimemjibu mi sipendi ushirikina aende kwa washirikina wenzake. Kakata simu nadhani ndio yuko njiani kwenda kwa hao watu
Haha sio ushirikina we tumia tu mkuu.. masaa ma4 pesa yako utaitendea hakiNdio, nimemjibu mi sipendi ushirikina aende kwa washirikina wenzake. Kakata simu nadhani ndio yuko njiani kwenda kwa hao watu
Umesoma tu inasababisha simamisha uume ila hujaona hiyo inasababisha impotence
Brazil hawajambo ee, mara mikate ya mende huliwa na matajiri.Leo ni buibui wa kuamsha gari za "mkaa!" Makubwa.A bite from the Brazilian wandering spider can cause an erection that lasts up to 4 hours
View attachment 1301558View attachment 1301559
Sent using Jamii Forums mobile app
Brazil hawajambo ee, mara mikate ya mende huliwa na matajiri.Leo ni buibui wa kuamsha gari za "mkaa!" Makubwa.