yeah, je sometimes una consider vigezo kama power, speed, fuel consumption, durability na price kuipenda gari au ni umbile la nje tu...Naikubali mashine flani toka Sweeden inaitwa Koeingsegg ila kibongo bongo nI BMW 3 series M-sport
yeah, je sometimes una consider vigezo kama power, speed, fuel consumption, durability na price kuipenda gari au ni umbile la nje tu...
Naamini maumbile ya gari pia hutegemea na kutaka gari iende spidi kiasi gani kwa kukata upepo na kubalance barabarani, au ku save mafuta, au malengo mengine kadhaa...
sasa umeongea, yani kama tupo top gear BBC,Hizi ndizo sababu zinazonifanya niikubali koenigsegg over a bugatti.
The new Koenigsegg Regera(2016) ina 1500 horsepower same as bugatti,
torque 2000Nm,
0-100kph (0-62mph) in 2.8 sec na hii ni kwa sababu hii mashine ni 2 wheel drive ila baada ya hapo hii gari ipo extremely fast ambapo yaweza fika its top speed of 249mph (400kph) in less than 20 sec kitu ambacho I bet hata bugatti atasanda tu kwa mda japo sababu ya topspeed yake atakuja ipita baadae sana. Halafu hizo speed kuzifikisha ni mbinde sana kwnye public roads nyingi sana duniani unless uwe unatumia German autobahn (kwa wasomaji wengine hii barabara ndio highway pekee duniani ambayo imetengenezwa special kwa ajili ya watu wanaotembea kwa kasi sana yaani haina speed limit ni uwezo tu wa gari yako)
Fact nyingine ni kwamba ukiwa kati ya speed 0-200kph na ukaamua kukandamiza uwese ghafla basi hii mashine lazma i-spin tyres.
Kwenye fuel consumption obvious inajulikana ukiwa na bugatti lazma uwe na petrol station nyumbani lakini hiyo ni tofauti na Koenigsegg Regera mnyama unyamani sababu hii kitu inatumia both V8 engine with twin turbo plus electric motors(ambazo zote kwa pamoja zinazalisha 1500Horsepower) yaani ni kama hybrid japo Christian Von Koenigsegg hataki kukubali kuiita mashine hybrid. Hii tech ya kutumia both engine na electric ndio mpya ktk supercars na inatumiwa na gari kama Maclaren P1, Ferrari La Ferrari na Porsche 918 spider n.k
Kuhusu technology hawa jamaa wa Koenigsegg wameamua kuondoa gear transmission (inatumia direct drive technology) , kwa hiyo hii Regera ina 1 gear mpaka unafikia topspeed (hakuna kupoteza mda wa gear shifting ktk kuchanganya speed).
Pia kwnye ufungukaji wa milango nawakubali sana hawa jamaa, naona jau sana supercar kama bugatti kufunguka milango kama mark x.
Kuhusu price obvious any hypercar doesn’t come cheap, Koenigsegg Regera ni $1,900,000 sawa na billion 4.1 za madafu japo ni expensive than other supercars ila ipo way cheaper than a bugatti. Na kwa pesa hiyo mtu utakayotoa lazma utahitaji kitu chenye muonekano mzuri na kuvutia mbele za watu regardless the power you have, yani hata kama mtu sio mpenzi wa magari basi aikubali hata kimuonekano tu, na katika hilo koenigsegg wapo 10 times than a bugatti kuanzia muonekano wa nje mpka wa ndani.
gari zuri ni V8 Hummer renjii na benz baashahahaha gari zuri linakuaje mkuu....tuelimishane bana.....acha uchoyo
Labda sababu hakukuwa na namna ili liwe na speed imebidi liundwe hivyo.mie nilikua najua kwa watoto wa kiume gari nzuri tunaingalaia kwa vigezo hivi:
Maximum power 1500bhp
Torque target 152 kg m
Projected top speed 288mph
0-60mph 2 seconds
Au muda wetu bado kwetu sisi watanzania kuongelea haya mambo mkuu, karne yetu ya kuongelea bangi haijaisha......
Hawa jamaa mashine nnazozikubali kwao ni mbili tu, lamborghini aventador na mdogo wake lamborghini gallardo. Hizo latest model zilizobaki naona walichoka kuyadizaini wakaamua kutengeneza magari kama kwenye movie za batman.Lamborghini Veneno – $4.5 Million

The Lamborghini Veneno is a limited production supercar which was based off of the Lamborghini Aventador. The Veneno was built to celebrate Lamborghini’s 50th anniversary.
Only three Veneno’s were available for purchase; a green, red and white version. These colors represent the Italian flag. A fourth car, dubbed Car Zero was also created, however this is a display vehicle and will be placed in Lamborghini’s museum. The Veneno will set you back $4.5 million.
mkuu ulivoanza nkajua utakua muhaya tuu kumbe ni games haha,,ht mi buggat naitumiaga sana kwnye real driving game,,inatembea hatari!Hizi gari nazikubali sana kwenye kuchanganya speed ziko fasta yaani nikiendesha hadi raha. Hili game la ASPHALT NITRO limenifanya niendeshe magari ya gharama ambayo ki uhalisia sijui kama nitawahi kuendesha.
weka na specs mkuuLamborghini Veneno – $4.5 Million

The Lamborghini Veneno is a limited production supercar which was based off of the Lamborghini Aventador. The Veneno was built to celebrate Lamborghini’s 50th anniversary.
Only three Veneno’s were available for purchase; a green, red and white version. These colors represent the Italian flag. A fourth car, dubbed Car Zero was also created, however this is a display vehicle and will be placed in Lamborghini’s museum. The Veneno will set you back $4.5 million.
Mkuu mwenzetu quality ya gari (ubora) unapimaje, sura au specifications....yani ni vizuri mtujuze nasi tufaidike...Mhhhh pamoja na ushamba wangu wa magari hii naaah,Kigari kina mwonekano mbaya km nin, ht niwe Bill Gates sinunui jmn
nikweli mkuu, hizi gari zinatengenezwa kwa majigambo tu, nikama mwenye fedha atamke hivi hakuna gari yenye nguvu kupita zote mniuzie, mie nataka gari ambayo hakuna mtu mwingine ata afford.....Labda sababu hakukuwa na namna ili liwe na speed imebidi liundwe hivyo.
Hiv mkuu unajiskiaje unapoiona Mercedes, aud au bmw saloon.nadhani mpaka unahisi amani kuitazama, lakini hili dude hapana.
Kwanza wanavyozidi kutoa mapya ndio yanazidi kuwa ya ajabu ajabu.
yani 4.5 m kwa ajili ya gari tu. Na kuna watu eti wananunua. Yani iyo ni dhambi mbele ya munguweka na specs mkuu