Atakuwa ISThahaha mkuu wewe ni mpenzi wa gari aina gani
Kabla sijamalizia kusoma hii comment yako nlishakutukana sana kimoyo moyo samahaniHizi gari nazikubali sana kwenye kuchanganya speed ziko fasta yaani nikiendesha hadi raha. Hili game la ASPHALT NITRO limenifanya niendeshe magari ya gharama ambayo ki uhalisia sijui kama nitawahi kuendesha.
mie nilikua najua kwa watoto wa kiume gari nzuri tunaingalaia kwa vigezo hivi:Tukiweka bangi pembeni hili gari ni baya kwa muonekano.
Mambo mengine inaweza kuwa poa.
Kweli mkuuTukiweka bangi pembeni hili gari ni baya kwa muonekano.
Mambo mengine inaweza kuwa poa.
Naikubali mashine flani toka Sweeden inaitwa Koenigsegg ila kibongo bongo nI BMW 3 series M-sporthahaha mkuu wewe ni mpenzi wa gari aina gani