Bugando hospital

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,442
97db2c86396530811230be6e6200cc4c.jpg
 
Hizo sehem za kukojolea wasiojua maana yake ni kasheshe....nliingia sehem siku moja nkakuta mmasai anakunya hapo
 
binadamu haswa mtanzania sio wasitaarabu ingawa kuna tahadhal lakn anaweza kujisaidia kubwa hapo hapo.
 
Sijaona ushahidi kama kweli hapo ni bugando hospital. Je kama ni bar,hotel au guest house nje au ndani ya mkoa wa mwanza?
Mkuu kama una ndugu yako pale mwambie aende G4 choo cha wanaume atakuta hii kitu
 
Back
Top Bottom