Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Tusio walimu ndio imekula kwetu. Ushabiki mwingine, hasara na janga kwa Taifa. Mzaha mzahaHeko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika
Pongezi kwa mkullo
Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika
Pongezi kwa mkullo
yeah,
na sigara moja 3000/= huku bia ikiruka hadi 5000/=
azavali BIA ITAPATA HESHIMA YAKE SASA,SIO KILA MTU ANAKUNYWA TUU TENA KWE JEURI,TUTAKUNYWA TUNAOFANYA KAZI BOT TUU NA WATU WAMAGWANDA
Nasikia Chama cha Demokaya na Magwanda wamepanga kususa kuingia bungeni !
Acha kebehi wewe.Ninyi ndio mnaojifanya mko matawi ya juu.Lakini mbona na wewe ni ndondocha wa Freemasons.Heko heko watanzania serikali yenu itakuwa imewasikiliza vya watu wengi budget ya neema ndo imewadia wafanyakazi walimu kupata unafuu wa maisha, kodi kushuka kwa 6% katika mafuta hapa kila mtu atanufaika