Duh yani nichome million 20 kisa harusi? Ujinga huo sifanyi.Idadi ya watu pekee sio kigezo cha kujua bajeti halisi.
Kitu cha msingi ni aina ya sherehe harusi, mazingira ya sherehe na uwezo wa watu kiuchumi unaotaka kuwaalika.
Kwa harusi hizi za kimjini mjini kwa zama hizi, kwa idadi hiyo ya watu, wastani wa bajeti ya 10-15milioni inatosha. Ukitaka mbwembwe nyingi basi andaa 20+ milioni. Na ukiwa unataka sherehe ya harusi kufanyika kinyumbani, kijijini au kijamii, basi 5milioni au pungufu ya hapo inatosha sana
Duh yani nichome million 20 kisa harusi? Ujinga huo sifanyi.
Bora niwachangishe ikifika hela nzuri nasepa kusikojulikana.
Tufanye kuacha mwakani.Si tulikubaliana tunaacha kutumia ule mmea?
hahahahahaDuh yani nichome million 20 kisa harusi? Ujinga huo sifanyi.
Bora niwachangishe ikifika hela nzuri nasepa kusikojulikana.
Mwakani 2022 tunaacha kweliTufanye kuacha mwakani.
Sure. Wala usiwaze, mwakani.Mwakani 2022 tunaacha kweli
Unajua wewe ni role model,ukiacha na mie naacha