Budget Comparison

ndio maana sisi wengine magu pamoja na mapungufu yake tunasema afadhali huyu.

ana mengi tutakuja kumkumbuka nayo kuliko rais mwingine yeyote.
 
ndio maana sisi wengine magu pamoja na mapungufu yake tunasema afadhali huyu.

ana mengi tutakuja kumkumbuka nayo kuliko rais mwingine yeyote.
Biashara iimarishwe, kodi tuzipunguze. Wafanyikazi wa serekali wafun,e kuheshimu kqzi zao, wanasiasa na polisi waache ufisadi na kula rushwa, hali ya uchumi itabadilika sana.

Magufuli ndiye anayeweza majukumu haya, kwani ni Raisi mwenye uamuzi na asiyeogopa lawama.
 
Dubai...Jiji pekee lenye hotels za nyota 7.. sijui kama kuna Jiji lingine huku Duniani lenye hotels za nyota 7.
 
Wale wana sera nzuri za wawekezaji pamoja na utawala bora, hapa walikuwepo akina Manji, Dangote wote wamekimbia sababu ya sera mbovu na utawala mbovu mkuu, hivyo usishangae shangaa utawala tulio nao. Wewe mwenyewe upo Dubai sababu ya sera mbovu tulizonazo pengine ungewekeza ndani mkuu. Ni hayo tu mkuu
 
CCM ndiyo imetufikisha hapa mkuu
 
Huku tuko busy kutumbua ma-DED kwanza, kuvunja hotel za akina Sugu na kuapisha wabunge hewa wa upinzani! Ka mataahira vile!
 
Huku tuko busy kutumbua ma-DED kwanza, kuvunja hotel za akina Sugu na kuapisha wabunge hewa wa upinzani! Ka mataahira vile!
Tuwache kebehi za kisiasa,na tuendelee kuishawishi serekali yetu kukuza na ku encouraged biashara
 
ndio maana tunasema mahesabu ya wazungu sio msahafu au katiba,wanafanya wanachotaka wao kiwe,sio lazima uwe ndio uhalisia.

wao maisha chini ya $1.9 kwa siku wewe no masikini,sasa nikuulize shuilingi elfu 5 tz unafanyia vingapi??
GDP ya Purchasing Power Parity huwa ina factor in tofauti ya thamani ya pesa na pia Real GDP ina factor in tofauti ya Interest rates na mfumuko wa bei kwahiyo hyo $1.9 huwa inakuwa converted kulingana na purchasing power.

So sio kweli hiko unachosema
 
Umri wa nchi sio kigezo..... Asian Tigers (kagoogle) walikua uchumi sawa tu na Tz miaka ya 60 ila leo hii sio korea au Malaysia wametuacha zaidi ya mara 30 sasa unavyodai age determines the success nikueleweje.

So umepotosha once again
 
unaona mlivyo viazi[emoji23][emoji23].
kwahiyo dubai kila mtu ana uchumi sawa na mwingine.
Hiyo ni average tu ili kupata picha ya kwamba kma nchi ikiamua kugawa pato lake kwa kila raia je watakua na kiasi gani!!

Hii inafanyika ili kuweka balance kati ya nchi zenye watu wengi na wachache.

Mfano familia yako ina watu tisa ila unaingiza laki 5 huwezi kuwa sawa na familia ya watu wawili inayoingiza kiasi hiko hiko.

So per capita inaingia hapo

Once again umepotosha!!
 
Umri wa nchi sio kigezo..... Asian Tigers (kagoogle) walikua uchumi sawa tu na Tz miaka ya 60 ila leo hii sio korea au Malaysia wametuacha zaidi ya mara 30 sasa unavyodai age determines the success nikueleweje.

So umepotosha once again
nchi kama china mnayosema tulikuwa nayo sawa 1950,mwaka huo ilikuwa inatengeneza silaha zake za kivita kama smg na sar.

korea mnayohubiri NK, 1970 likuwa inazalisha mashine za umwagiliaji,tukawaomba msaada na nyerere.

wakati tz ilikuwa inakusanya watu waunde vijiji vya ujamaa mwaka huo.
 
hayo ndio yale mahesabu ya"bahari yote ikigeuka kuwa supu ni mikate mingapi itatosha wananchi"kisha waulizwaji mnajibu miwili miwili.

utagawanya pato hilo kwa mwananchi mmoja mmoja katika wati upi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…