ustaadh... naona kiswahili kimekua sana aisee, tamu mbaya...Nasiki hiyo kitu ni tamu mbaya......................
ni kweli ni chakula kitamu sana.....................lol atafaidi kweli
Acha mambo yako wewe, huo ni mshipa mgumu kuliko hata mfupa!, wachina wanakula kutokana na imani yao kwamba ukiwa unakula nyoka unaishi muda mrefu. Hakuna utamu wowote- nina ushahidi wa kuona sio wa kusikia