Loveeness78
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 280
- 294
Heshima kwenu wakuu.
Nahitaji butcha ya kukodi jijini Dar es saalam. Kwaajili ya kuuza nyama ya ng'ombe, kama ikiwa navifaa baadhi itakuwa vizuri zaidi. Ila hata kama haina vile vifaa basic za kuuzia ila iwe butcha nitashukuru pia.
Mi nipo maeneo ya Bunju, kama ikipatikana mitaa ya karibu na nilipo nitashukuru, na ikiwa mbali pia nitaangalia kama naweza kufika.
Mwenye kujua au kuwa nayo ataniambia hapa public au hata PM.
Natanguliza shukrani kama nitawezeshwa kuipata.
Sent using Jamii Forums mobile app