Bubu wa Kugongea

Bubu wa Kugongea

Huo mtaa wa DM umekuwa created lini humu!?



Basi buana majuzi kati hapa nikaenda Mlimani city kucheki Fast and Furious 8,
Wakati nasubiri mashostito waje nikakaa pale Movies kwa nje pale kwa njee ah nikakaaaa money penny mieee natoa toa macho mashosti hawakuuu hawakuji kweliii!

Basi arawa mimi, nikaona niinue chura mpaka discount nikaingia Mr Price, nikawa natoka nikarudi kukaa kwenye vile viti vyetu vya jamiii

Akaja kaka m1 buana, akanisalimia

Kaka: mambo dada?!
Money Penny: nikamkodolea machoo

Kaka: dada ankusalimiaaa

Money Penny: nakodoaaa simjibu kimya kimya

Kaka: dada mzuri me nimekupenda sana, we mzuri sana nimekuona tangu unaingia akaongea ruti zangu zooote za discount za mr price mpaka narudi kukaa dada me nimekupeendaa buree

Money Penny: kimyaaa namwangalia tu kama bundiii

Kaka: kwaiyo hauongei dada au?!

Money Penny: nikamjibu, abaaabaaabaaaa!

Kaka: heee! We dada bubu kumbe

Money Penny: ababaa baaa babaa! Abuubuuu abaaa baa

Kaka: akaona atajaza watu, samahan sister kwa usubumbufu! akaondoka mdogo mdogo waliokaa pembeni wanashangaa

Money penny: mxiiiiiuuuuu! Stupid boy!

Wanaume muache kudandia wake za watu mtadandia majini skunyingine ohooo!
Ahahahahaha, Bubu wa kungongea on fleekest!
Nawatakia weekend njemaa

Me leo nataka kuonana na wana jamii forum mje basi High Spirit saa 2 usiku then namalizia Smaaki Samaki Masaki au sio?!
Kama wataka namba yangu njoo DM

 
DSm mbali na uwingi was watu, bado maeneo ya kupumzika hakuna. Sehemu zinahesabika, nendeni nairobi, Kampala, Blantyre hats Lusaka. Mnabadili mazingira.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom