Bubu anipa kibembe cha kwanza 2013, anitoa jasho huuu!!

Bubu anipa kibembe cha kwanza 2013, anitoa jasho huuu!!

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,244
Bubu jana kaniendesha balaa. Kama kawa Bubu kafungasha mzigo ki ukweli kadidadisha. Mbaya zaidi ni bubu wa kitaa. Jana nikakutana naye mtaa fulani hivi nikaimbisha kwa mikono akaelewa. Nikamvuta taratibu mpaka G-house mchezo wa segere ukaanza, ki ukweli sifa apewe Bubu kila pande za Tanzania nilizungushwa. Sasa baada ya segere kwisha kimbembe kilianza, Bubu anataka wekundu 5. Nilimpa mwekundu 2 bubu kakomaa. Hapo lugha ngongona, bubu kashika nguo zangu sauti inapaa. Nilichoka hoi bin taabani ikanibidi nimwite muhudumu kidogo anajua lugha yao. Bahati nzuri akakubali kunipa nguo kwa makubaliano niende nikamchukulie wekundu 2 la sivyo atakuja kwa nyumbani kwangu kuleta sokombingo. Mimi nikenda fasta kwa ATM kuchomoa nikamletea hiyo pesa. Walahi Mabubu watata
 
Na bado utakutana na kiziwi..............!
 
Inaonekana unapenda sana "dead balls".

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wanaume wa nchi hii ?????????
Na hapo unapita barabarani umevaa suruali
ukimwi kweli ni janga la kitaifa
 
Sishangai sana mambo haya maana mwanaume wakati mwingine anakuwa ni kama kichaa linapokuja suala la kuwa na mwanamke huku akiwa na nye.....zilizopitiliza,unaweza sikia kamvamia hata kichaa muokota makopo na kungonoka nae.
Mkuu tulia na mkeo mambo haya siku moja yatakudhalilisha na utabaki unajutia maisha yako yote.
 
bubu jana kaniendesha balaa. Kama kawa bubu kafungasha mzigo ki ukweli kadidadisha. Mbaya zaidi ni bubu wa kitaa. Jana nikakutana naye mtaa fulani hivi nikaimbisha kwa mikono akaelewa. Nikamvuta taratibu mpaka g-house mchezo wa segere ukaanza, ki ukweli sifa apewe bubu kila pande za tanzania nilizungushwa. Sasa baada ya segere kwisha kimbembe kilianza, bubu anataka wekundu 5. Nilimpa mwekundu 2 bubu kakomaa. Hapo lugha ngongona, bubu kashika nguo zangu sauti inapaa. Nilichoka hoi bin taabani ikanibidi nimwite muhudumu kidogo anajua lugha yao. Bahati nzuri akakubali kunipa nguo kwa makubaliano niende nikamchukulie wekundu 2 la sivyo atakuja kwa nyumbani kwangu kuleta sokombingo. Mimi nikenda fasta kwa atm kuchomoa nikamletea hiyo pesa. Walahi mabubu watata
samahani,hivi wewe umeoa?
 
duh hadithi za kutunga hizi...

Pamoja na kwamba bubu anastahili heshima na haki sawa na wengine ila dah hii ya kwako ngumu kumesa.....

Haya tujie na nyingine basi
 
Imehusu na nini kuwaunganisha watu wote wasioweza kusema kwenye thread hii? @ Walahi Mabubu watata

Acheni generalization zisizokuwa na mantiki
 
Back
Top Bottom