Bubu anipa kibembe cha kwanza 2013, anitoa jasho huuu!!

Bubu anipa kibembe cha kwanza 2013, anitoa jasho huuu!!

Haya, kafungie kuku ukalale mtoto mzuri eeeeh !
 
hadithi hii inatufundisha nini

inawafundisha mnapopata vijimishahara vyenu muanze kukimbizana na mabubu na mwisho mje hapa museme maisha magumu.
Huyu jamaa aliyeleta hii stori ni mbumbumbu wa mwisho yaani ukiwaa mambumbumbu mtihani wa mambumbumbu lzima asike namba ya mwisho ukombozi wa fikra yeye bado sana. mtu wa aina hii ukienda nyumbani kwake utakuta maji ya wizi, umeme wa wizi yaani kila kitu kwake cha dili na bado anajiona mjanja yaania anapenda kutumia huduma bila kulipia maana mwenyewe kakiri kwamba amezungushwa tanzania nzima laki ni ajajua kuwa mwenzake wakati anamzungusha alikuwa anatumia mafuta na hivyo anapaswa kulipia sasa alicho tuambia hapa ni -0, unawezakuta compyuter anayoandikia huu ujinga ni ya ofisi tena ya serekali watu kama hawa wanafaida gani kwa nchi yetu??? tunawalipa mishahara kwa kodi zetu kuja kutuandikia kutuletea mirejesho ya jinsi gani wametumia kodi zetu.
Je kuna haja ya kuwapa ajira watu kama hawa?? na je ikiwa hajira hazipatikani kwa watu kama hawa wanaweza kuja na kuilaumu serekali kuwa kwanini hakuna ajira???
 
Bubu jana kaniendesha balaa. Kama kawa Bubu kafungasha mzigo ki ukweli kadidadisha. Mbaya zaidi ni bubu wa kitaa. Jana nikakutana naye mtaa fulani hivi nikaimbisha kwa mikono akaelewa. Nikamvuta taratibu mpaka G-house mchezo wa segere ukaanza, ki ukweli sifa apewe Bubu kila pande za Tanzania nilizungushwa. Sasa baada ya segere kwisha kimbembe kilianza, Bubu anataka wekundu 5. Nilimpa mwekundu 2 bubu kakomaa. Hapo lugha ngongona, bubu kashika nguo zangu sauti inapaa. Nilichoka hoi bin taabani ikanibidi nimwite muhudumu kidogo anajua lugha yao. Bahati nzuri akakubali kunipa nguo kwa makubaliano niende nikamchukulie wekundu 2 la sivyo atakuja kwa nyumbani kwangu kuleta sokombingo. Mimi nikenda fasta kwa ATM kuchomoa nikamletea hiyo pesa. Walahi Mabubu watata

Na bado utakutana na jini, taa inazimwa mkiwa kitandani
 
aaaah hii kal ya mwanzo wa mwaka ila daaah bubu nmtata ile mbaya pole mzee kw kutoka jasho.
 
kwani kaka huna demu hadi unazoa mitaani c afadhali ungenunua hata jeans na tshirt kuliko kununua ukimwi
 
Back
Top Bottom