Heshima kwenu wana JF!
Nina dogo amaemaliza form six na kupata Div 2 ya point 11 na alisoma PCB malengo yake aliomba Bsc in Medicine,Bsc in Laboratory na Bsc in Nursing lakini zote amekosa na amechaguliwa SUA kuchukua Bsc in Wildlife Management.
Sasa swali langu kwenu VP hii Bachelor ipo vizuri katika soko la ajira na kujiajiri maana ni mtoto wa kike na ameonyesha kutoipenda kabisa.Naomba ushauri wenu kwa wanaoijua vizuri.
Asanteni.