aaah,jombaa hapo ndo penyewe hapo.muziki wa kiume huo mjomba na nadhani md aitii mguu kwa ugumu wa kusoma.jipange kusoma utoto acha nyumbani maana kama ni anatomy,histology na physiology macro na micro,mabiochemistry hayo ndo daaah,achana na mamedicine na mapathology aisee na viumbe vyote unavyovijua ww inabidi viwe kichwani,magonjwa...nadhani 2takuwa wote ila sasa shida inakuja "mazingira ya kazi"